GLOBAL HABARI MACHI 22: IDADI YA WAGONJWA WA CORONA TANZANIA YAONGEZEKA.
Rais Dkt John Magufuli, leo Machi 22, ametangaza kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa wa virusi vya Corona nchini kutoka sita hadi 12…
Akizungumza mapema leo wakati akihutubia Taifa jijini Dodoma, Rais Magufuli, ametangaza ongezeko hilo pamoja na mabadiliko kadhaa yaliyofanywa na serikali katika kuhakikisha wanadhibiti Ugonjwa huo usiendelee kuenea kwa watu wengi zaidi, ikiwa ni pamoja na wageni wote wanaoingia nchini kuwekwa chini ya uangalizi maalum kwenye maeneo ya kujitenga (Safe Isolation) kwa siku 14 kwa gharama zao wenyewe..
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY:
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
GLOBAL RADIO TV:
EXCLUSIVE INTERVIEW:
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe
Nguồn: https://12m-15m.org/
Xem thêm bài viết khác: https://12m-15m.org/category/van-tai
Jaman
Ww ni raisi wa kweli tunakupenda mwaka 2020 ni yako
Tumwombe Mungu na kunawa jamani
ooh God
meneja wa Dr shika.
vip hali ya mzee?
Ee Mungu umtembelee mama huyu
Tuombe mungu t
Sas mm nauliza nakula jee tule vp
Mipaka idhibitiwe
Miaka ya Tanzania idhibitiwe ili kupunguza kasi ya corona
Jina la bwana lihimidiwe milele gonga like ww
Sote tuseme ameeenn!!!
Hongera catherin kahabi uko vizuri ila alie kuvalisha hajakushep vizuri hiyo nguo kwa kifupi hajakujulia
Waahoooo unatangaza vizuri sana dada hongera yako unasauti nzuri na hao wote wametokea wapi akati warikua sita tuu